Umejitahidi!
kwenye picha uko chiibonge
Halafu wewe nina kesi na wewe,ngoja tu!!
Nina mawakili kama sita hivi!!
Kwani nani amekuambia nitatumia mahakama?
wewe ndio honey eenh? hebu kuja kwanza upate cha mchana bana!!
si unaona wenzio wanaugua mapafu huko juu? njoo tule ma-apple kwanza ten tuongee vizuri!