Kazi ya Magufuli haina makosa

Hivi wewe unaongelea majasusi ni hatari kuwaruhusu kuingia hapa nchini?kweli?mimi najua unajua lkn hutaki tu kukubali kwamba hao watu wanatujua inn and out,hakuna kitu ambacho watataka kukijua kuhusu sisi halafu wasikijue hata bila ya kuwaruhusu kuja.sidhani kama hulifahamu hili!sasa kama suala la silaha zetu zote za majeshi yote tunaagiza kwao kwa mfano huo tu unaamini una lipi la kuwaficha!?rada unanunua kwao zinazomulika anga lako lote,satelaiti zao zinamulika anga lote sijui lkn labda una hoja.
 
Mtukufu Muheshimiwa Dokta Rais muweza wa yote na asieshindwa kwa lolote. CCM OYEEE
PUMBAVU!
 
"UTAOZEO MAHABUSI"[emoji118]Umeandika lugha gani hii mkuu!! Sentensi hiyo imenifanya nisielewe mantiki ya ujumbe wako kwa ujumla, tafadhari unaweza kupunguza uzuzu wako na uiandike upya Tena huo ujumbe Wako? Pia unaporudia kuandika jitahidi kutumia vizuri matumizi ya Punctuations maana Kuna sentensi nashindwa kuzielewa Kama ni sentensi ulizi au sentensi Taarifa. Mfano, "Ushawahi kuhukumiwa".[emoji118]is this what was supposed to be? Kiufupi sijaelewa Sijui umeandika ukiwa na haraka za kipumbavu kutoka sayari gani tu. Hebu kaa utulie urudie kuandika Tena ili ueleweke.
 
Lisu ameomba viongozi wenye majukumu na usalama wa Taifa kumhakikishia usalama wake ili arejee, MBONA KIMYA? au serikali inamuogopa Mbowe?
 
huyu! hoja aitoe wapi? hiyo nondo makonde umemtwisha. hiyo ni kuhangaika nayo tu. hoja haishuki kama mana. hoja inajengwa. mjenzi yu wapi?
 
ni haki yako kutokuelewa. hata hivyo nakupongeza unajitahidi. kidogo unaanza kutumia elimu yako vizuri. kuna neno mahabusu na neno mahabusi. mahabusu anatupwa mahabusi. kuna mahabusi polisi na mahabusi gerezani. mahabusu hajatiwa hatiani na kuhukumiwa. mahabusu akihukumiwa kifungo anakuwa mfungwa. anatoka mahabusi anaingia jela gerezani.
zama hizi mahabusu anaozea mahabusi ya polisi au mahabusi ya gereza. mahabusu si mtuhumiwa tena! wanamfanya mfungwa bila kuhukumiwa! mashehe wa uamsho wako ndani miaka mitano. upelelezi hautakamilika! waliishahukumiwa lakini sio kisheria! jitahidi kuelewa basi! mbona simple. sina tatizo na punctuations kabisa. tatizo ni uelewa wako wa kipumbavu.
 
Huna lolote, yaani we Ni BONGE LA FALA [emoji1787] [emoji1787][emoji36][emoji36][emoji855][emoji855] [emoji855] hukumbuki kabisa kilichompata Tundu!!!
 
Ewe kinywa Cha mpumbavu wapata wapi ujasiri wa kunena mbele ya kinywa Cha mwerevu? Nanukuu "upumbavu Ni kipaji Kama kipaji Cha urefu na ufupi" (by j.k nyerere) na kwa hiki tu kipaji chako Cha uzuzu na upumbavu wako sikuwezi zaidi ya kunifanya na Mimi nionekane zuzu Kama wewe.[emoji119][emoji119]Baki na kipaji chako bhana Cha upumbavu na ongeza juhudi[emoji119][emoji119]
 
Mwingine kawa kichaa huko shinyanga mwingine alikufa mbeya na nyaulingo yupo hoi Hospt hana miguu yote “laana ya Tundu lisu imewakamata vilivyo
 

Mbuzi wewe kabisa!

Unafungua kesi mchunguzi ambae ni seeikali hataki kuchunguza,mahakamani ushahidi gani utapelekwa?

Kesi si inafutwa siku hiyo hiyo?

Mpuuzi wewe!

Jinga kabisa!

Eti fungua kesi,mpuuzi wewe!

Mpaka mnafanya tunatukana!
 
Mbuzi wewe kabisa!

Unafungua kesi mchunguzi ambae ni seeikali hataki kuchunguza,mahakamani ushahidi gani utapelekwa?

Kesi si inafutwa siku hiyo hiyo?

Mpuuzi wewe!

Jinga kabisa!

Eti fungua kesi,mpuuzi wewe!

Mpaka mnafanya tunatukana!
punguza munkari mkuu...in hekima zaidi inapaswa kutumika katika haya ndugu!
 
punguza munkari mkuu...in hekima zaidi inapaswa kutumika katika haya ndugu!

Sasa mtu anakwambia fungua kesi as if haelewi kwenye criminal cases hizo mwenye mandate ya uchunguzi ni chief prosecutor ambae ni serikali ambae ashakataa kuchunguza!

Sasa uende mahakamani kufanya nini?Maana Muendesha Mashtaka Mkuu kakataa kuchunguza!

Na hawataki taasisi ya nje ije kuchunguza kabisa!

Sasa uende mahakama ya hapa nchini kwa grounds zipi mkuu?

Hawa wajinga wanafanya mpaka mtu unatukana bila sababu!
 
kosa lisilosameheka la huyo jamaa yako ni kosa la kutosamehe na kuwa na visasi vibaya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…