Duuuh, kama kweli yanatumika kukaangia chipsi sijui athari zake kiafya zipojehilo wese kazi yake ni kupooza hilo dude,kama oil yaani.
ndio maana yakitolewa tu au kupunguzwa linaungua.
sifa yake ni kwamba hayaishi kwenye kukaanga chipsi.
KansaDuuuh, kama kweli yanatumika kukaangia chipsi sijui athari zake kiafya zipoje
Hilo ndilo hata mimi nalifahamu hivyo.Hayo mafuta yanatumika pia kwenye compressor ya fridge na air conditioner
ndani ya karai jombaa.Kwenye kupikia apo...
Yanatumika kama mafuta ya kupikia(cooking oil), ama kama chanzo cha moto? (Fuel).?
Yana maradhi..hayafai kwa kuliwaBas yaingizwe kwenye mzunguko wa upish yawe kama mengn kitaa
Duuuh!! Sasa una risk maisha kwa kitu kidogo hiko