Kazi ya kuuza nguo

Kazi ya kuuza nguo

daddys dota

Member
Joined
Nov 21, 2014
Posts
66
Reaction score
4
Anahtajika kijana mdogo kwa ajil ya kaz ya kuuza nguo
SIFA
Awe mchamungu na mwaminifu
awe mchangamfu
Awe tayar kufanya kaz kulingana na maelekezo atakayopewa
Kwa mawasiliano zaid 0766866683 au 0659965555
 
Kuuza nguo dukani au kutembeza mtaani mkuu..kijana mdogo wa kuanzia miaka mingapi mkuu?
 
Kweli hii haraka unashindwa kusema upo wapi na ni duka la nguo za aina gani? Siku nyingine punguza haraka
 
Back
Top Bottom