KAZI YA Kusambaza Viperushi (Distribution of Brochures/Fliers) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

KAZI YA Kusambaza Viperushi (Distribution of Brochures/Fliers)

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by saq, Sep 6, 2012.

 1. s

  saq JF-Expert Member

  #1
  Sep 6, 2012
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 270
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tunahitaj. vijana wanao veza ku sambaza viperushi.
  AU
  Kama kampuni wanayo fanya kazi hii.

  Plz message me !
   
 2. Kimbori

  Kimbori JF-Expert Member

  #2
  Sep 6, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 2,725
  Likes Received: 347
  Trophy Points: 180
  Ninyi ni kina nani?
  Kusambaza maeneo gani ya Tanzania?
  Kusambaza kwa njia gani?
  Kusambaza kwa aina mfumo upi wa malipo (% of sales au)?
  Mnahitaji vijana wangapi?
  Naomba ujibu hayo maswali kisha tupate mwanga.
   
 3. Msamiati

  Msamiati R I P

  #3
  Sep 7, 2012
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 1,076
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 0
  Ninavijana wangu wanafanya michezo ya baiskeli ni njia pekee na nzuri ya usambazaji vipeperushi katika mazingira yoyote,ufanisi na uzoefu wa hali ya juu, ni vijana wadogo wachapakazi na wenye nguvu.

  Kama kweli unahitaji ufanisi kwenye kazi yako nakushauri uwatumie hawa vijana.
  maranyingi huwa wanatumika na makampuni makubwa ya vinywaji na simu

  Kwa mawasiliano

  Email titusjulius89@gmail.com
  Simu 0712494761 Mrk 8.jpg Mrk 7.jpg View attachment 64180 Mrko 3.jpg WAPO WANNE
   
 4. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #4
  Sep 7, 2012
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,529
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
 5. S

  SIXPLANET Member

  #5
  Sep 9, 2012
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 76
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Dama media ltd tuna print na kusambaza.
   
Loading...