Kazi ya kupeleka magari mipakani

Kazi ya kupeleka magari mipakani

hp4510

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
9,019
Reaction score
10,052
Wakuu mambo niaje? hivi deal za kupeleka magari yale ya IT mikoani na mipakani liko vipi? kuna yoyote anafahamu jinsi ya upatikanaji wa hizo kazi?
 
Wakuu mambo niaje? hivi deal za kupeleka magari yale ya IT mikoani na mipakani liko vipi? kuna yoyote anafahamu jinsi ya upatikanaji wa hizo kazi?
<br />
<br />

We ni dereva au unakampuni unayotaka ifanye kazi hizo?
 
Nenda pale kibaha minzan ongea na matrafic watakupa mchngo,
 
Yap me naitaji sana eh mchongo uko vipi?
 
yap naitaji sana eh nipeni mchakato nianze kuangaikia Now
 
njoo hapa tunduma (customs) utakutana na Wazambia wananunuzi wa hayo magari na mtaanza biashara!
 
Aisee nimeshakuja hapo Tunduma but sikufanikiwa may be kama utaweza kuniunganisha na mtu yyte ambae unamjua ambae anadeal na hizo ishu
 
Back
Top Bottom