kazi ya kununua

Kazi ni we mwenyewe just chukua fursa zen twenzetu ingawa mwanzo ni mgumu, chukua huo ugumu km changamoto zen think widely then make samcng better,,, angalizo mwanzo mgumu bt uckate tamaa,, take note!
 
Approch unayotumia kutafuta kazi sio sahihi, JIPANGE UPYA.
Kila la kheri katika kutafuta kazi kwa njia halali.
 
Kwa hiyo unataka mafanikio ya siku moja...haya kila la kheri...

Wenzako kwa mtaji kama huo sasa hivi ni mabilionea...

... just jokin
....Hiyo 20m Niipate mimi mtoto wa mujini ningekua kwenye jukwaa hili?!.
Ungekua unanisoma kwenye jukwa la business na matangazo madogomado jioni niko MMU.
Nikifurahi wk end naku :cell: waleeee.
 
... just jokin
....Hiyo 20m Niipate mimi mtoto wa mujini ningekua kwenye jukwaa hili?!.
Ungekua unanisoma kwenye jukwa la business na matangazo madogomado jioni niko MMU.
Nikifurahi wk end naku :cell: waleeee.

Ah mwingine hiyo ni hela ya vocha...kwahiyo yote yanawezekana
 
ukinunua kazi lazima hutakuwa mwadilifu kazini, hasa kwenye ubadhilifu na ufisadi
 
Back
Top Bottom