kazi ya kununua

acha ushamba wangapi huku jukwaani wanatumia majina yao halisi. usiwe mvivu wa kufikiri. kweni anayejiita nyani ni nyani kweli.. mijitu mingine sijui vipi
Punguza ukali wa maneno, pengine unayemkoromea ni HR... utapataje kazi sasa, mbona amekuuliza kitu cha msingi kwanini unatumia jina la kike akati we wa kiumeni.. badala ya kujibu unakoroma....
 
Nina 10m na mimi nataka niuziwe hizo kazi
nitatoa 20mil zikiwa mbili mimi moja na mpenzi wangu moja..
:bored:
 
acha ushamba wangapi huku jukwaani wanatumia majina yao halisi. usiwe mvivu wa kufikiri. kweni anayejiita nyani ni nyani kweli.. mijitu mingine sijui vipi
Kuna jamaa anajiita nyani anatabia za kinyaninyani vip we kuusu regina?

Back to topic unashngap?

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Nina 10m na mimi nataka niuziwe hizo kazi
nitatoa 20mil zikiwa mbili mimi moja na mpenzi wangu moja..
:bored:

Sasa hizo pesa si bora mkafungua biashara kwani lazima kuajiliwa...

Hizo 20mil ningepata mimi mwe kweli kwwnye miti hakuna wajenzi...

Fungueni biashara acheni masihara..
 
hata sihitaji hyo course. Mwanaume kujiita jina la kike ni ulofa. Ndo maana hupati kazi. Badilika bro kuwa mwanaume kuanzia tabia hadi matendo.

Mwe...kazi kwelikweli na ukute hapa wala hana haja ya kazi..anatu enjoy tu..
 
habarini wanajf.jamani binafsi sina amani kutokana na kutokuwa na kazi mda mrefu. hivyo niko tayari hata kununus kazi. kazi zimekuwa ngumu sn hasa kama hauna mtu unayemfahamu katika system. kwa anayeweza kunisaidia kwa hili nipo tayari kumpa pesa safi cha msingi nitimize ndoto yangu ya kuajiriwa. kwa aliye tayari naomba anipm

Hiyo hela safi unayotaka kuhonga si bora ungefanyia biashara..
 
Sasa hizo pesa si bora mkafungua biashara kwani lazima kuajiliwa...

Hizo 20mil ningepata mimi mwe kweli kwwnye miti hakuna wajenzi...

Fungueni biashara acheni masihara..

Kuna kazi Hiyo hela inpatakana tena kwa siku moja tu.
 
Kuna kazi Hiyo hela inpatakana tena kwa siku moja tu.

Kwa hiyo unataka mafanikio ya siku moja...haya kila la kheri...

Wenzako kwa mtaji kama huo sasa hivi ni mabilionea...
 
do what you think its best for you and yo will see the future, gain or loss
. be a men dnt lov slopes!
 
acha ushamba wangapi huku jukwaani wanatumia majina yao halisi. usiwe mvivu wa kufikiri. kweni anayejiita nyani ni nyani kweli.. mijitu mingine sijui vipi

Kaka isijekuwa unatumia majibu na jazba kama hizi kutafuta kazi nakwambia kwa style hii utapata kazi kwa taabu sana.
 
Back
Top Bottom