Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,070
- 61,969
- Thread starter
-
- #41
Shukrani mkuuSalute to you big
Ntakua msaidizi wakoπMkuu kwenye marketing hapo naomba shavu
naam ni kuweka mambo sawa.Katika kujibizana huku, ndiko kunajenga uelewa kwa wale wahitaji; ukisema tuweke mambo ya share, ina maana tuanzie na kwenye kuchangishana mitaji.
Mkuu kwenye marketing hapo naomba shavu
Halafu Boss Chakula cha usiku Je?uwezo wa kuwapatia chai na chakula cha mchana tu, ndani ya miezi sita.
Tena wee lazima ulete wateje wengi hizo hips tuu mteja atataka kuchorewa ramani na kujengewaHawezi ninyima mimi Marketing ππ Niruhusu please niwe na huyu Boda Boda Boss
Yale ya ngoswe yatajirudia πNtakua msaidizi wakoπ
Ni la muhimu sana kuliweka sawa tangu mwanzoninaam ni kuweka mambo sawa.
πTena wee lazima ulete wateje wengi hizo hips tuu mteja atataka kuchorewa ramani na kujengewa
Mamy (...) πHalafu Boss Chakula cha usiku Je?
Halafu Boss Chakula cha usiku Je?
Waambie chai itakuwepo na vitumbua 2 πMimi Kama raisi wa ma jobless pro max, ngoja niwa cheki wanangu kina makutupora na Bolotoba ili tuwe tuna kuja kunywa chai bure.
Majibu ya kisiasa ujue hayaπ π na hapa tunazungumzia utaalamuKupitia kampuni watakuwa wameji 'brand', wanaweza kujikuta wanapata kazi zingine nje ya kampuni kwa masaa ya ziada.
Ile tu kuwa bize muda wote, na kila mmoja akiwa bize na kazi yake 'specialization' inamfanya muhusika ashibe.
Nipo tayari mh Rais kuripoti kazini kesho mapemaaa!Mimi Kama raisi wa ma jobless pro max, ngoja niwa cheki wanangu kina makutupora na Bolotoba ili tuwe tuna kuja kunywa chai bure.
Visiwe na mchanga tu π πWaambie chai itakuwepo na vitumbua 2 π
Boss chai ntakunywa Cha mchana ntabebaaa nipe location kesho nitokeeeWaambie chai itakuwepo na vitumbua 2 π
ha ha haTena wee lazima ulete wateje wengi hizo hips tuu mteja atataka kuchorewa ramani na kujengewa
Atupe location la office twende hapo kesho
Chukua chombo hicho wewe...ukikaaa wewe na sharubu zako wateja hawajiha ha ha