kazi ya kufundisha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kazi ya kufundisha

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Acha Dhambi, Jul 16, 2011.

 1. Acha Dhambi

  Acha Dhambi Senior Member

  #1
  Jul 16, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 138
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  natafuta kazi ya kufundisha iwe ya muda au ya kudumu nimesomea digrii ya elimu (BED psychology)
   
 2. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #2
  Jul 16, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  Hvi c nilickia nyie wa2 wa education mnaajiriwa direct,au na nyie hamna tofaut na ce wa bcom?
   
 3. Mwendabure

  Mwendabure JF-Expert Member

  #3
  Jul 16, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,056
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 180
  Sio lazima uajiriwe Mkuu! Njo kesho Dagoni (bandari ya wavuvi wadogo) msasani beach nyuma ya Ofisi za Tanesco nikufundishe uvuvi huku ukisubiri hiyo ajira ya kisomo.
   
 4. nzedanze

  nzedanze Member

  #4
  Jul 17, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  je uko tayari kufundisha shule ya kata...na kwenda mkoa wowote?
   
 5. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #5
  Jul 17, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  khaaaaah!!
   
 6. U

  UHURU WANGU New Member

  #6
  Jul 17, 2011
  Joined: Jul 17, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kazi ipo.
   
 7. Acha Dhambi

  Acha Dhambi Senior Member

  #7
  Jul 18, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 138
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  niko tayari ukiniwezesha kwa nauli
   
 8. Sabry001

  Sabry001 JF-Expert Member

  #8
  Jul 18, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,064
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Hujasema uko wapi mzee wa BED! Utaimiss Ng'ong'ona!
   
 9. Jimbi

  Jimbi JF-Expert Member

  #9
  Jul 18, 2011
  Joined: Aug 16, 2010
  Messages: 871
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  halahal watoto wetu wa kike huko uendako kijana!!
   
 10. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #10
  Jul 18, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Mkuu mwenyewe nimeanza kukumisi huko,then hii gvt ya ajabu kweli yaani wanafunzi wanataabika hakuna walimu sisi tumemaliza Udom juzi tupo tu kitaa tuu any way ngoja tuone itakuaje
   
 11. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #11
  Jul 18, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Mkuu huu ni usaini tuu hakuna kitu kama hicho,sijui wataajili lini then mwenye taarifa wanaajili lini atupe news wajameni
   
Loading...