Kazi ya Jeshi Kugangamala....

Hapa sasa ndipo kwenye Nidhamu ya Jeshi napapenda sana angegeuka tu angekula risasi safi sana
 
Ata yeye kashasikia hali ya hewa kubadilika ila anadumisha nidhamu..
 
tatzo cku hizi hata askali nao wanavaa modo sasa ikiachia km hivi ndio balaa hapo.
 
tatzo cku hizi hata askali nao wanavaa modo sasa ikiachia km hivi ndio balaa hapo.

kweli kabisa haya mambo mengine ni ya kuachia vijana....
 
Haahaa! Watu hawana maana kweli humu, lol!
 
Aahhh saafi naona na korodani zileeeee...
 
mzanzibari akiwa nyuma yake hapo je? au wale watu wa mombasa na Lamu?
 
Kama mimi ndo mgeni rasmi kama alikuwa Sergent nampa ustaff sergent!
Maana mwingine anaweza acha majukumu kujiziba!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…