Nimemshtukia hapo kwenye umriKuna watu wana mbinu kali za kudaka mademu mwenyekiti hii mbinu yako nzuri sana
38Una umri gani
Msichana aliyekuwa serious anicheki kesho aanze kazi seriously call me 0656560158
Boss sio kila mtu anatafuta mademu ebu badilika kifikra ww
Itakuwa ww ndo lengo lako hapa maana fikra zako zipo kwa mademu tu huna point ya maana kaa kimya shobo za nn sasa wenye shida watajishughulisha na postHuo muenekano mzuri una uhusiano gani na kazi umeshawahi ona kuna sehemu wanataka mtu wa kazi wanatoa kigezo cha awe na muenekano mzuri
Itakuwa ww ndo lengo lako hapa maana fikra zako zipo kwa mademu tu huna point ya maana kaa kimya shobo za nn sasa wenye shida watajishughulisha na post