Kazi ya bar

Kazi ya bar

Vile una macho mazuri,wateja wakikuona tu wanaagiza vinywaji vingine.....
Hupatikani Sis..
I miss you more...[emoji16]
Hahahahaa kaone[emoji85][emoji85][emoji85].
Napatikana bhana ngoja mimi nitakutafuta mdogo wangu.
 
Msichana wa kuuza bar anahitajika
Sifa
Awe mwaminifu.
Awe unafahamu hesabu vizuri
Awe na mwonekano mzuri.
Awe na umri kuanzia 20 - 26
Kama wewe ni msichana na una sifa hizo nicheki 0656560158
Location Makumbusho DSM
Deadline: Kesho.
we mshahara mezan tukuletee wahudum wenye chura am asure u usipouza kuanzia kreti 30 pee day usiwalipe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom