Natafuta mtaalam wa mifugo ambaye atakua na certificate au diploma ya Mifugo kwaajili ya kusimamia Shamba la Mifugo ambalo linajihusisha na ufugaji wa Nguruwe na ndege kama kuku..bata etc.Ni vyema awe na ufahamu wa kutunza na kuhudumia mifugo kitaalam kama kuchoma sindano..dawa na chanjo.Shamba lipo Morogoro manispaa na atakua anaishi hapo hapo.Kwayoyote aliye serious mwenye hizo sifa anitext whatsaap kwa namba 0686 666666 tuongee.Karibuni sana