Kazi ubalozi wa Marekani

Kazi ubalozi wa Marekani

kindili kindili

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2013
Posts
242
Reaction score
54
Wapendwa huu ubalozi wametangaza kazi ziko kwenye website yao, naweza pata miongozo kabla ya kuomba? wana maelezo mengi sana, kuna mtu anaweza kutupa ufupisho, kama CV page ngapi na ile nyingne ni separate sheet au inaambatanishwa(ile inayotoa maelezo sec 3A).

Msaada jamani, mi ata kuitwa tu itamaanisha sana kwangu, nataka kuomba voucher examinar.
 
washajulisha watu wao kuna hr 1 hapo ni noma kwa watoto ila wewe omba tu
 
fiter mi mwenyewe mtoto huyo hr natamani ningepata kumjua hahahahahha- ila still nielekezeni wandugu
 
Duh aisee! Hizi kazi ni balaa! Inakuwaje watoe kazi wasitoe utaratibu wa kuomba??
Utaratibu wameweka ila ni mgumu,na km ni mzembe wa kusoma na kuelewa hauwezi kuomba kazi zao
 
kama unaona uvivu wa kusoma maelekezo ya kuomba kazi je unafikiri utaweza fanya kazi unayoiomba? umezoea kazi za vimemo weye
 
kama unaona uvivu wa kusoma maelekezo ya kuomba kazi je unafikiri utaweza fanya kazi unayoiomba? umezoea kazi za vimemo weye

Nimeona nikupe like tu mkuu, yaani unatafuta kazi ila unaona uvivu hata kusoma maelezo? Zaidi ya yote why vijana wanapenda kuajiriwa zaidi kuliko kufikiria kujiajiri? Huyo mwingine eti anajiona mtoto wa haja anataka kukutana na hr sasa hiyo kazi au mapenzi?
 
hahhahaha sio uvivu wa kusoma ndugu zangu, nimesoma sana naelewa lakn nahtaji maelezo pia..lugha yenyewe imekuja na meli, na kuhusu utoto wa haja sasa kama hr ye kaweka utoto mbele unadhani itakuaje-!!!! maelezo niliyomba hapa ni kuambiwa na wenye uzoefu kuna sec ya kujaza 3a je naingza ndani ya cv au ni separate sheet....kama unataka kunihelp nihelp .....................
 
... na kuhusu utoto wa haja sasa kama hr ye kaweka utoto mbele unadhani itakuaje-!!!!.....................

Mi nahisi kindili kindili hujamuelewa mkuu fiter kidogo. Aliposema.
washajulisha watu wao kuna hr 1 hapo ni noma kwa watoto ila wewe omba tu

Anamaanisha hivi, huyo HR anapenda watoto (wanawake/mabinti) kwahiyo ataomba rushwa ya ngon* zembe. Sasa unapojibu kwamba:
fiter mi mwenyewe mtoto huyo hr natamani ningepata kumjua hahahahahha-

Inamaanisha kwamba upo tayari kumpa hiyo rushwa? (Kumradhi kama wewe ni ME). Sasa ilo si tatizo? Kwamba upo tayari kuvua *** kwaajili ya kazi? Elimu yako iko wapi?

:focus: Lirudie tu tangazo mbona linaeleweka!
 
Last edited by a moderator:
Ili tukusaidie weka link ya hiyo web ili tusome then tukwambie nini cha kufanya. otherwise sikiliza bongofleva.
 
Back
Top Bottom