kazi PCCB.

kazi PCCB.

Vifekaa.

Member
Joined
Feb 10, 2013
Posts
9
Reaction score
1
Hivi kupata ajira PCCB mpaka uwe na vigezo gani, na kama ukutaka kuajiriwa unaanzia wap?
 
Mtafute mke wa changonja, muandalie kama laki tano tuu.
 
Pccb wana vitengo vyote kwanzia uhasibu, engineering, statistics, sociology, I.T, etc. Lazima upitie kozi ya miezi 6 kabla ya kuajiriwa. Mara nyingi huwa wanatangaza nafasi kwenye magazeti na mtandao
 
Waliowekwa PCCB wote ni mashushu wa TISS. Ni bora ukalielewa hili suala na ndio maana wala rushwa mapapa hawakamatwi ila dagaa ndo wanatiwa mbaroni. Kama we sio mzee wa TISS chance yako ni ndogo sana. Labda uwe mtoto wa kigogo umeenda kwa kimemo. We tafuta digrii yako ndugu uendelee na ujasiriamali wa kujiajiri utafute ugali na mkate wako wa daily.
Unaweza kuingia msafi wa maadili ukatoka umechafuka valu valu.
Achana nayo hiyo makitu.
 
Mimi cyo 4m4..aisee, nachukua degree yangu sina haja ya kuitaja!
 
Li na ikiwezekana upate phd na ujitahidi sana kusoma magazeti kwani nafasi za kazi huwa zinatangazwa kwenye magazeti na mitandao
 
Back
Top Bottom