Habari,
Kampuni ya MICROF LTD ina nafasi NNE (4) za kazi ya muda kwa graduate yeyote. Kazi hii ni ya ofisini kuanzia leo tarehe 5 Septemba 2017.
Malipo kwa siku ni Tsh. 10,000 Utapata chai asubuhi na chakula cha mchana bure. Kazi inaanza saa 2:30 asubuhi hadi sass 10:00 jioni kila siku. Tupo Kinondoni "B" karibu na Hospital ya Kinondoni kuna Jengo la Ghorofa limejengwa kwa tofauli za choma.
Tupo ghorofa ya 3 ofisi nambari 148. Karibu hata leo alie tayari anaweza kufika kuanza. Mfumo wa anayefika wa kwanza ndiyo atakuwa wa kwanza kupata nafasi kati ya hizo nne (4) utatumika.
Nambari zetu za Ofisi ni: 0718 508 927 and +255 688 362 601