Kama itakuwa kweli, nimefurahi pia kwa kuwa umesifia utendaji wa TISS yetu sio kuiponda tu!.Bwana J K ambaye alikuwa akiratibu matukio ya ovyo ametemwa rasmi.
Ni habari zinazotia moyo kiasi kuwa kuna dhamira ya kweli kuleta mabadiliko chanya lakini replacement ya E N kuwa ndugu Mabu.... sisi wengine inatutia shaka, labda kama ni interim tu.
Kwenye rekodi zetu ndugu Mabu... ana rekodi inayotia shaka. Tumpe muda
Kweli kabisaMtoa mada sio wa kubezwa hata kidogo
once a snitch always a snitch.Once a dog always a dog.