Kazi nzuri TISS: Mwingine wa kundi la ‘Wasiojulikana’ aliwa kichwa

Ccm hawategemei kura kutangazwa washindi, bali madaraka ya rais kuwaagiza vyombo vya dola na tume ya uchaguzi kuhakikisha mgombea wa ccm anatangazwa mshindi.
Naunga mkono hoja yako kwa Asilimia zote ni kweli CCM wanayo matokeo mfukoni wanasubiria mda tu kutangaza mshindi ni matumizi mabaya ya kampeni kwani kila kitu wanacho mapema kusingekuwa na haja ya kufanya kampeni kwani uchakachuaji umeshachukua nafasi tokea mapema.
 
Hakuna cha maana hapo, Ccm wako kwenye vitambulisho vya mpiga kura, chadema wako na wasiowajua kumbe wanawajua. Uchagizi ukifika wanalalamika kuibiwa , Zero brain is always on wrong timing.


Bora uwaambie.. sisi tukiwaambia walete ajenda ya kitaifa ya tume huru ya uchaguzi wanasambaratika kucheza ngoma na stunts za ccm!
Hadi leo hi Wapinzani wanashindwa kuelewa kuwa ushindi kwenye uchaguzi - usio huru na haki - ni idadi ya kura si wingi wa watu au wapiga kura!
Kwa taarifa tu; kila balozi wa shina wa ccm kwa sasa yupo bize anasajili watu wake na nambari ya vitambulisho vyao!
Uchaguzi ukijitokeza kura lazima ipigwe awepo mtu au asiwepo!
 
Bwana J K ambaye alikuwa akiratibu matukio ya ovyo ametemwa rasmi.

Ni habari zinazotia moyo kiasi kuwa kuna dhamira ya kweli kuleta mabadiliko chanya lakini replacement ya E N kuwa ndugu Mabu.... sisi wengine inatutia shaka, labda kama ni interim tu.

Kwenye rekodi zetu ndugu Mabu... ana rekodi inayotia shaka. Tumpe muda
EN tuimfahamu baada ya thread kuwa ndefu sana , sijui ya Leo JK nani atatufunulia hili fumbo! Ngoja ni keshe na hii nyuzi nione kama ntaambulia kitu.
 
Their days are numbered! upuuzi mtupu.
Ingekuwa upuuzi ungepoteza muda wako kusoma?

Sawa, "their Days are numbered" ghafla wewe uliyejipa mamlaka ya kuhesabu siku za uhai wa watu ndo unaishia kukumbwa na kichomkumba Sheikh Yahya. Alitabiri mgombea kufa akafa yeye. Mungu hafanyiwi mzaha.

Nyaulingo didn't just say "their days are numbered" but he actually made some people's days numbered. Yu wapi sasa?



Screenshot_20190813-010656_Instagram.jpeg
 
Ingekuwa upuuzi ungepoteza muda wako kusoma?

Sawa, "their Days are numbered" ghafla wewe uliyejipa mamlaka ya kuhesabu siku za uhai wa watu ndo unaishia kukumbwa na kichomkumba Sheikh Yahya. Alitabiri mgombea kufa akafa yeye. Mungu hafanyiwi mzaha.

Nyaulingo didn't just say "their days are numbered" but he actually made some people's days numbered. Yu wapi sasa?



View attachment 1182308
watu wa jografia,hii picha imepigwa muda gani?
 
Back
Top Bottom