Kazi nzuri TISS: Mwingine wa kundi la ‘Wasiojulikana’ aliwa kichwa

Ex Spy

JF-Expert Member
Jan 15, 2007
213
1,725
Bwana J K ambaye alikuwa akiratibu matukio ya ovyo ametemwa rasmi. Huyu alikuwa kiungo mchezeshaji akiwa anajinasibu kuwa na nguvu isiyomithilika.

Ni habari zinazotia moyo kiasi kuwa kuna dhamira ya kweli kuleta mabadiliko chanya lakini replacement ya E N kuwa ndugu Mabu.... sisi wengine inatutia shaka, labda kama ni interim tu.

Kwenye rekodi zetu ndugu Mabu... ana rekodi inayotia shaka. Tumpe muda!
 
Siji sahau siku nliyowatimua hawa pimbi

Siji sahau !
IMG_20190814_163819.jpeg
 
Bwana J K ambaye alikuwa akiratibu matukio ya ovyo ametemwa rasmi.

Ni habari zinazotia moyo kiasi kuwa kuna dhamira ya kweli kuleta mabadiliko chanya lakini replacement ya E N kuwa ndugu Mabu.... sisi wengine inatutia shaka, labda kama ni interim tu.

Kwenye rekodi zetu ndugu Mabu... ana rekodi inayotia shaka. Tumpe muda
Kama itakuwa kweli, nimefurahi pia kwa kuwa umesifia utendaji wa TISS yetu sio kuiponda tu!.

Wanapofanya vibaya katika utendaji wao wapondwe na wanapofanya vizuri wasifiwe pia kama ulivyofanya hapa!.
 
51 Reactions
Reply
Back
Top Bottom