Kazi nzuri TISS: Mwingine wa kundi la ‘Wasiojulikana’ aliwa kichwa

Yule kigogo anajua kila kitu na aminiwa sana na wana harakati na Bavicha-..... yani yeye ndio kachukua nafasi ya Da Mange.....hahahaha
Yaani hata maombolezo hayajaisha umeweka picha ya rais mpya, umeondoa ya mwendazake?!! Kizazi cha HK mmelaaniwa kwa dhambi ya usaliti!!
 
Shida ya kazi za kiroboti bila kutumia akili yako ndio hiyo ya kuachwa in the wilderness na mwendazake anapoondoka. Bora anapozimika ghafla wasiojulikana wake aondoke nao. Maana sasa wanaachwa wakiangaika kama vifaranga bila mama kuku.
 
Back
Top Bottom