DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,500
- 83,729
Kazi ngumu sio laana kikubwa malengo yako tu mbeba zege sahv analipwa 15k kwa siku .
Ivyo kukaa kwa wazazi bila issue sio vizur bora ukajichanganye kikubwa nguvu zako na afya na malengo utafika ndani ya mwaka 1 unakuwa umepata mtaji mzur tu .
Mungu kwanza.