Kazi na Bata ( Work and Live ) — what do we mean?

Kazi na Bata ( Work and Live ) — what do we mean?

Mkuu penye Changamoto pana fursa, kwa hiyo kama umetambua hilo wahi kwa Ras Simba Mwenge ukajipatie walau cha kusomea "thread" Jamii forum.
Kwangu mie sio tatizo ila kumbuka wapiga kura wengi wanaoipa ushindi ccm hawaelewi lugha ya malkia na hapo ndipo wanasiasa wa upinzani wanapofeli maana huwa mnawasahau kabisa watu hawa ambao ndio kundi kubwa la ushindi wa ccm
 
kazi na bata inayotokana na rasilimali zetu za ndani,sio kazi na bata kwa pesa inayotoka kwa mashoga.kupanga ni kuchagua kipindi cha JK mlikula bata,kushinda angani,sasa tumeamua kujielekeza kwenye kazi.ukiendekeza bata sana mwisho ni kutoka barabarani,tumekula bata sana enzi za mkwere na kama taifa tusinge jielekeza kupiga kazi,kubana mianya ya ufisadi,ukwepaji kodi,kuminya uzembe na utumishi hewa kwa watumishi wa umma kama taifa tungetoka barabarani.
We bwe.ge kweli unatambua mpaka sasa hii serikali yako imeshakopa Tsh.ngapi na kupokea grants kiasi gani kutoka kwa hao unaowaita mashoga? Mijitu mingine bana
 
Muheshimiwa kwa lugha uliyotumia hujawatendea haki kabisa watanzania waliowengi ambao lugha ya kiingereza inawasumbua.

Kama lengo lilikuwa ni kufafanua dhana ya kazi na bata kwa watanzania wote kulikuwa hakuna haja ya wewe kutumia lugha ya kigeni, ila kama una malengo tofauti halo sawa.

ACT ni chama cha Wazalendo na wazalendo wengi wamenyimwa elimu bora na mifumo ya kandamizi ya kiccm iweje wewe leo uwaandikie kwa kiingereza?

Hivi ni kweli ufafanuzi wako unawahusu watanzania wengi ambao inapaswa waielewe dhana ya kazi na bata ili waisapoti au umelenga watu wengine?

Wanasiasa wa kiafrika ni watu wa ajabu sana.
Uzi unawahusu Development Partners kama wewe unataka kuambulia chochote nenda kwa Ras Simba Mwenge.
 
Si kwel
Uzi unawahusu Development Partners kama wewe unataka kuambulia chochote nenda kwa Ras Simba Mwenge.

Si kweli na kama ni kweli alipaswa kuiandika twitter au facebook article hii,maana huko ndio rahisi kuwapata hao 'the so called development partners'

au hujui hii forum ni ya waswahili?
 
Kazi na Bata ( Work and Live ) — what do we mean?

Zitto Kabwe, MP

Popular struggles have often featured demands for material improvement, but not for its own sake. The tedious drive for marginal economic gain becomes meaningful when part of a bigger struggle—for dignity, respect, freedom and all else that makes for a fulfilled life.

It was this understanding that inspired 19th century trade unionists campaigning for an 8-hour workday, their most famous slogan being, “8 hours for work, 8 hours for sleep, and 8 hours for what we will.”

In 1912, women immiserated by a wage cut went on strike in America’s then textile capital, Lawrence Massachusetts. They wrote on their placards, “We want bread, and roses too”, demanding fair pay but also dignity in their work. “Bread and Roses” went on to become a much-loved socialist slogan, with roses denoting not something frivolous but “a sharing of life’s glories”.

Reflecting on the anti-colonial struggles of the mid-20th century, Martinique philosopher and revolutionary, Franz Fanon, observed, “For a colonized people the most essential value, because the most concrete, is first and foremost the land: the land which will bring them bread, and above all, dignity.” Guinea-Bissau revolutionary, Amilcar Cabral, similarly affirmed, the people are “fighting for material benefits, to live better and in peace, to see their lives go forward, to guarantee the future of their children…”

In Tanzania, Julius Nyerere at times echoed these same sentiments. He insisted on the need for both “freedom and development”, an ambition reflected in the best of Ujamaa, initiatives like the grassroots-organised communal villages of the Ruvuma Development Association.

Unfortunately, though, the aspiration for bread, roses and dignity, for freedom and development, is not always realised. This was true in the latter years of Ujamaa, as a once democratic ideology of communal wealth building gave way to a top-down, statist agenda.

More recently, President Magufuli coined a new slogan, “Hapa kazi tu!”, meaning literally “Just Work”. This was in response to widespread frustration with entrenched corruption, the promise being to ensure a clean and effective government instead.

Magufuli’s initial anti-corruption campaign seemed to honour this promise, and so met with an enthusiastic popular response. But that enthusiasm has since waned.

Tanzanian politics has taken a sharp authoritarian turn—opposition politics have been curtailed; leaders arrested and held without bail; journalists disappeared and murdered; pregnant school girls denied education; farmers, pastoralists and fishermen killed in government security “operations”.

Tanzania’s economy is also suffering, and with it the wellbeing of its people. Promised investment in health and education has not materialised, undermined by poor budget performance. Although official growth figures remain stable, for many people, household budgets are tight.

Magufuli now explicitly invokes an Ujamaa legacy, claiming to prioritise wanyonge, the down-and-out. But if his is indeed a revival of Ujamaa, it is of the latter-day, top-down authoritarian version.

In the current context, “Hapa kazi tu!” sounds more like a harsh order, a demand to obey in exchange for a meagre reward.

People don’t want work alone, work without freedom or material improvement. They need something more. Wanahitaji kazi, pia bata. They need to work but also to celebrate, to “share life’s glories”, to have “bread and roses”, “freedom and development”, to “live better and in peace, to see their lives go forward, to guarantee the future of their children…”

People need work and life.
Tatizo mnatembea Ccm walimokwisha pita: "Hapa kazi tu," na nyie hapa, "Kazi na bata. " Hamfanikiwi. Mnafafana na Ccm kila kitu...
,
 
Kwa hiyo Zitto Kabwe kitambo hiki amekuwa PRO wa Membe? Huu sasa umalaya wa kiwango cha juu katika Siasa za nchi hii!
 
Good stuff, thanks for sharing. Honestly, i partly agree with your ideology, but i am equally worried with its practicality. Unfortunately, we have kind of people who cant draw demarcation between these two requirements (Kazi and Bata). My friend, Bata will always take the lead, and you know what will going to happen?
 
Wanaume wa Dar ili waelewe waambie kazi na chips, wamasai kazi na nyama na maandazi na wale kule Iringa kazi na mbwa, na sisi wachaga kazi na pesa bila kusahau wasukuma kazi na mwanamke mweupe.
teh teh teh... Ongezea 'kazi na panya' Ntwara, 'kazi na ng'ombe' Mara, 'kazi na wadudu' Bukoba!
 
Wanaume wa Dar ili waelewe waambie kazi na chips, wamasai kazi na nyama na maandazi na wale kule Iringa kazi na mbwa, na sisi wachaga kazi na pesa bila kusahau wasukuma kazi na mwanamke mweupe.
...sisi wazaramo huku pwani ni kazi na vigodoro
 
Kazi na Bata, Work and Live!!!

Nadhani inabidi nirudi darasani maana kingereza changu kilikuwa kinanidanganya

Nilidhani Kazi na Bata, ni Work and Enjoy (Life)

Nilidhani kazi ni sehemu ya maisha (Life)
 
Jiwe anapoongea code mixing na code switching sio mbaguzi?? Kwahiyo unataka kutuambia kwamba watanzania wanao tumia English ni wabaguzi??

Umenikumbusha instance moja kwenye group la WhatsApp niliandika english moja watu wakatoka kapa na kuanza kuniita mbaguzi, watu walikomalia na kumtaka admin anitoe kwenye group
 
Muheshimiwa kwa lugha uliyotumia hujawatendea haki kabisa watanzania waliowengi ambao lugha ya kiingereza inawasumbua.

Kama lengo lilikuwa ni kufafanua dhana ya kazi na bata kwa watanzania wote kulikuwa hakuna haja ya wewe kutumia lugha ya kigeni, ila kama una malengo tofauti halo sawa.

ACT ni chama cha Wazalendo na wazalendo wengi wamenyimwa elimu bora na mifumo ya kandamizi ya kiccm iweje wewe leo uwaandikie kwa kiingereza?

Hivi ni kweli ufafanuzi wako unawahusu watanzania wengi ambao inapaswa waielewe dhana ya kazi na bata ili waisapoti au umelenga watu wengine?

Wanasiasa wa kiafrika ni watu wa ajabu sana.
Ametumia lugha ambayo kwake yeye anaamini atajieleza vizuri hoja yake. Tanzania tuns lugha rasmi mbili kwa mawasoliano 1. Kiswahili 2. Kiingereza. Angeongea Kikara au Kinyantuzu angestahili kulaumiwa.
 
Back
Top Bottom