Msichana wa kufanya kazi za steshenari anahitajika
Vigezo:
Awe anajua kutumia vizuri kompyuta.
Awe na muonekano mzuri.
Awe anajua kuongea na kuandika kiingereza vizuri.
Umri usizidi miaka 30
Kama unajihisi unaweza kufanya kazi hii tuma cv na cover letter yako ukiiambatanisha na picha ya passport yako kwenda
legacyimpression@gmail.com
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums