Ni miezi kadhaa imepita tangu interview zifanyike ambapo interview ya kwanza ilifanyika mwezi wa tisa na baada ya muda wakatuita tena katika interview ile ile kwa mara ya pili jambo ambalo halikuwepo mwanzoni, tukaenda tukafanya tena interview nakumbuka ilikuwa tar 15/11/2013. mpaka leo hakuna taarifa yoyote. Pengine wenzangu mna ufahamu wa maswala haya au uelewa wa taasisi hii hasa mfumo wa ajira zao basi tusaidiane mawazo maana ni bora ujue kama umepata au umekosa ili ujipange kivingine....