Kazi mgodini (Training program)

nzedanze

Member
Jul 13, 2011
44
1
Jamani wadau naomba kuuliza hivi hawa jamaa wa mgodini hua wako serious?...maana mwaka jana walitoa nafasi za kutrain watu chaajabu waliita watu kwenye interview ila hawakuchukua hata mtu mmoja kwa upande wa Engineering mama (I mean Electrical,mechanical& Civil),cha ajabu naona wameshatoa tena tangazo wanataka watu sasa nashindwa kuelewa tatizo nn?...mwenye ufahamu muzuri kuhusu hilo naomba atudadafulie hapa Jamvini.
Pil Hivi wakishakuchukua kwenye hiyo program ndo wanakuajili kabisaa au itategemea na performance yako after Training?
 
unajuaje kama hawakuchukua mtu hata mmoja? unawafahamu wote walio-apply na majibu waliyopewa? pili, ni kawaida kabisa kuona post ya kazi inatangazwa gazetini wanaandika ''re-advertised, those who applied previously need not apply again'', inawezekana waliokuwa interviewed hakuna waliyeridhika naye. kazi utapata, usiwe na haraka sana. kwenye ulimwengu wa ajira, unatuma applications 30, kati yake tano ndo unaitwa, mbili mnashindwana mafao moja ndo unaichukua. Mungu wa haki yupo, aliyokuandalia itakuja tu, jiandae!

kuhusu ajira, inategemea strategy yao kwa wakati huo, lakini ukipata trainings hizi unakuwa kwenye position nzuri ya kupata ajira ya kudumu. kwenye madini turnover ya wafanyakazi ni kubwa, na ww ukikaa kidogo tu utapata greener pastures na kuanza mbele!!
 
Samahani jamani mwenye e-mail addres ya Buzwagi Gold Mine, i wish to go there for I.T.
 
unajuaje kama hawakuchukua mtu hata mmoja? unawafahamu wote walio-apply na majibu waliyopewa? pili, ni kawaida kabisa kuona post ya kazi inatangazwa gazetini wanaandika ''re-advertised, those who applied previously need not apply again'', inawezekana waliokuwa interviewed hakuna waliyeridhika naye. kazi utapata, usiwe na haraka sana. kwenye ulimwengu wa ajira, unatuma applications 30, kati yake tano ndo unaitwa, mbili mnashindwana mafao moja ndo unaichukua. Mungu wa haki yupo, aliyokuandalia itakuja tu, jiandae!kuhusu ajira, inategemea strategy yao kwa wakati huo, lakini ukipata trainings hizi unakuwa kwenye position nzuri ya kupata ajira ya kudumu. kwenye madini turnover ya wafanyakazi ni kubwa, na ww ukikaa kidogo tu utapata greener pastures na kuanza mbele!!
Asante sana ila mm tayari ninakazi lakini ukweli napenda sana nipatekazi mgodini maana nahisi huko ndo nitakuza ujuzi wangu...mara dufu
 
Asante sana ila mm tayari ninakazi lakini ukweli napenda sana nipatekazi mgodini maana nahisi huko ndo nitakuza ujuzi wangu...mara dufu

mkuu nenda buzwagi halafu we jiandae nakifungu cha mkwanja uone kama utakosa kazi maana siku hizi tz bila hela na undugunization hakuna kazi :A S 103:
 
ok, angalia web zao mara kwa mara. unaweza pia kutuma experession of interest (email ad utaipata kwenye web yao) ili wakuweke kwenye data base yao. otherwise wanatoa kazi mara kwa mara kwenye guardian na daily news. all the best

Asante sana ila mm tayari ninakazi lakini ukweli napenda sana nipatekazi mgodini maana nahisi huko ndo nitakuza ujuzi wangu...mara dufu
 
Jamani barrick saivi wamebadilisha jina ni african barrick je na email adress zao zico vile vile au na zenye zimebadilika na kama zimebdilka zikoje? Nisaidien
 
Jamani barrick saivi wamebadilisha jina ni african barrick je na email adress zao zico vile vile au na zenye zimebadilika na kama zimebdilka zikoje? Nisaidien

Jaribu kusilimu ubadili jina uone kama email yako itabadilika. Upo!?
 
Waheshmiwa na wadau wa safu hii mimi natafuta kazi, nadili na plant operation yeyote anayezijua campuni au mwenye campuni yke mimi ni operater wa motor grader na front end loader na vyeti vya veta ninavyo.
 
Jamani barrick saivi wamebadilisha jina ni african barrick je na email adress zao zico vile vile au na zenye zimebadilika na kama zimebdilka zikoje? Nisaidien

Ondoa shaka email address zinafanya kazi na hata uki omiti jina barrick ikawa ...@africanbarrickgold.com ni sawa vilevile
 
Waheshmiwa na wadau wa safu hii mimi natafuta kazi, nadili na plant operation yeyote anayezijua campuni au mwenye campuni yke mimi ni operater wa motor grader na front end loader na vyeti vya veta ninavyo.

Plant ya mwadui ndo ipo kwenye hatua za mwisho kukamilika.cjajua kama wanaitaji wataalamu pale.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom