Nimekaa na kutafakari sana. Hii tabia ya watu walio na "digrii" kupenda kuchagua kazi za kufanya sio nzuri kabisa, kwa sababu nimegundua kuwa "thermometer" ina digrii nyingi tu lakini bado inafanya kazi kwenye kwapa.