Kazi kwenu kinadada

Kazi kwenu kinadada

Mkuu huu undishi wako una utata

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
mm mwanaume nipo nitamwenddsha vzr sana mama mpaka afurahi mwenyewe no papara barabarani km upo tayari nijulishe
 
hahahahaha watu mna maneno..hahahaha sema laki mbili na nusu .....duuuh gari napaki kwenu afu nachukua daladala sio, muda wa kufika mzigoni sa ngapi?na kutoka sa ngapi
 
hahahahaha watu mna maneno..hahahaha sema laki mbili na nusu .....duuuh gari napaki kwenu afu nachukua daladala sio, muda wa kufika mzigoni sa ngapi?na kutoka sa ngapi

Kwa bahati mbaya au nzuri.tumeshapata dereva ameripoti leo mchana na anaanza kazi.02/05/2014
 
Dah hili deal lingekuwa kwa jinsia ya kiume safi sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom