Kazi kwelikweli bongo tambalale

Konda huyo anahakikisha abiria wake wote wako salama lol!!!! Huku akimwambia mshika usukani, "Kwangu kweupeeee kanyaga twende"
 
Konda huyo anahakikisha abiria wake wote wako salama lol!!!! Huku akimwambia mshika usukani, "Kwangu kweupeeee kanyaga twende"
Akwangue mafuta?au akanyage mafuta? hahahahahaahah umenifurahisha siku yangu ya leo Mkuu BAK
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
lol!!!! hahahahahaha!!!! akanyage mafuta ili wafanye trips kibao, mwisho wa siku wanagawana na tajri pasu kwa pasu 🙂🙂

Kiswahili cha bongo kweli kimekuwa na hilo neno (Pasu Kwa Pasu) lina maana gani mkuu BAK?
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
Aya wee! huyu mama watoto aliniomba hela ya teksi nikampa elfu arubaini... nashangaa kazipeleka wapi hadi adandie DCM kwa nyuma!! Heri angedandia kwa mbele, mbele kuko salama...Ngoja arudi...
 
Huyu hajavaa ngozi ya kondoo kweli? Vinginevyo ganja asili yake
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…