Kazi kweli kweli

....

......ha ha ha kang'oka meno 50 !!!!
 
ila simba pamoja na ubabe wake anapata shuruba
 
Huyo punda lazima adakwe tu.
Hizo ni mbwembwe.
 
Aisee mateke ya Punda ama Twiga huwaachia vilema vya kudumu Simba usicheze na nguvu za "mfyatuko" wa hayo mateke!Na hapo simba sidhani kama alikuwa na hamu ya Nyama ya punda tena!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…