Kazi kwa mechanical engineering

Kazi kwa mechanical engineering

Mr pesa

Member
Joined
Mar 20, 2013
Posts
79
Reaction score
7
nina mdogo wangu kamaliza mwaka huu diploma ya mechanical engineering na kapata ufauru wa GPA ya 2.5, anatafuta kazi makampuni makubwa na madogo, masaada wenu kama nafasi zitapatikana pia anachohofia GPA yake itakuwa imemnyima nafasi kuingia sehemu kubwa kama migodini na viwanda vikubwa.
USHAURI PIA
 
diploma in mechanical engineering inaweza kumlipa akiwa mvumilivu, ila kama umri bado ni mdogo ajitahidi kuomba kazi kama trainee kwenye international companies infuture akipata uzoefu anaweza kupiga hela sana, ajaribu pia in aviation industry kama auric air, precision air,coastal air wanachukua vijana kama yeye kuwa aicraft trainee tech au eng. pia ajifunze kuwa faster kuangalia makampuni ya migodini na contractors wake maana si kweli huko GPA haziangaliwi ni uwezo wake wa kujieleza na kujibu maswali and from there he can get more experience.
Kama uchumi wa familia uko vizuri mmpelekeni nje akasome oil and gas, marine engineering ,aicraft engineering au pilot course.

Mechanical engineering ni field ambayo haidanganyi ni suala la muda tu kwake na kujitambua.
 
Asante sana maelezo yako kweli nimeyakubali na yanatia moyo

Maana alikuwa ameshakata tamaa kabisa
 
diploma in mechanical engineering inaweza kumlipa akiwa mvumilivu, ila kama umri bado ni mdogo ajitahidi kuomba kazi kama trainee kwenye international companies infuture akipata uzoefu anaweza kupiga hela sana, ajaribu pia in aviation industry kama auric air, precision air,coastal air wanachukua vijana kama yeye kuwa aicraft trainee tech au eng. pia ajifunze kuwa faster kuangalia makampuni ya migodini na contractors wake maana si kweli huko GPA haziangaliwi ni uwezo wake wa kujieleza na kujibu maswali and from there he can get more experience.
Kama uchumi wa familia uko vizuri mmpelekeni nje akasome oil and gas, marine engineering ,aicraft engineering au pilot course.

Mechanical engineering ni field ambayo haidanganyi ni suala la muda tu kwake na kujitambua.
Asante sana umesema kitu cha uhakika mkuu....
 
Asubiri muda wake utafika tu
apo muda wa kusubir si atakuwa anapoteza siku pia watu wanachukua nafasi huko makazini pia maisha ya sasa kukaa bila kaz hayawezekani

Apo asubiri muda gani mkuu
 
aombe kujitolea kwanza kupata uzoefu wakutosha nakupata CV iliyo shiba bilashaka baada ya apo atakua nondo zaidi nakupata kwa wepesi
 
Asante sana mkuu kwa ushauri wako.....Hapo itakuwa imesaidia sana
 
Back
Top Bottom