Kuna kampuni inataraji kusajili jarida hivi karibuni litalohusiana na watoto.
Kuna nafasi 4 zinatakiwa kujazwa kwa mtu mwenye Certificate ama Diploma ya Journalism / Mass Communication kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali.
Mwenye kuhitaji kazi hii atume CV na nakala ya Cheti chake kwa mail hii rmassawe12@gmail.com