Kazi Kuzungushia Ukuta Inaendelea!

Kazi Kuzungushia Ukuta Inaendelea!

Jackal

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2012
Posts
10,258
Reaction score
14,106
FB_IMG_1532888898963.jpg
 
Chadema nao nasikia ni Nyumbu kama huo ukuta ukijengwa basi nao wawekwe ndani.
 
Nyie mnatumia Taya kufikiria mbona toka muoe hamna hata nyumba, huyo mke mnaesema tuwape mtamweka wapi?

Majitu mazima hivyo hamna nyumba [emoji23].
Wewe mwenyewe unaishi kwa dada yako shemeji akila mzigo unaishia kusonya tu.
 
Sawaa kabisa umetoa mfano sahihi.

Yaani Chadema mlitaka kuua CUF ili mchukue Jengo lao sasa wamekuja kugutuka nia yenu imekufa.

Jengeni aisee mbona mnatia aibu hivyo. CCM anawarubuni wabunge wenu na nyumba ndio maana anawaharibia ndoa kila siku.

"Ndoa ni Nyumba".
Wewe mwenyewe unaishi kwa dada yako shemeji akila mzigo unaishia kusonya tu.
 
Nyie mnatumia Taya kufikiria mbona toka muoe hamna hata nyumba, huyo mke mnaesema tuwape mtamweka wapi?

Majitu mazima hivyo hamna nyumba [emoji23].
Punguza ujinga fisi wakijan wee!kwan wote wanaowa wananyumba?
 
Hebu tumia basi akili kidogo usiwe mpumbavu kwa gia ya Uanaharakati.

Chadema ni Chama kikuu cha upinzani hapa nchini hamna ofisi Mnataka mjengewe na serikali au Msaada wa watu wa Marekani?

Ukiwa Chadema usiwe mpumbavu kiasi hicho uwe pia unatumia akili kidogo.

Haya kakojoe ulale
 
Na ule upande wa pili jina lao la ubatizo naskia ni "NYUMBU"
 
Back
Top Bottom