Kazi Ktk Kivuko Cha Kigamboni!

Kazi Ktk Kivuko Cha Kigamboni!

Majigo

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
5,519
Reaction score
1,832
Wametangaza Kazi Kwa Waliofaulu Kidato Cha Nne Au Cha Sita
Mimi Utaratitibu Wa kazi Yao Imenishinda Hivyo Hata Maombi Sijapeleka
Nimewasilisha Tangazo, Ila Sihusiki Kujibu Baadhi Ya Maswali Kama Vp Nenda FERRY
 
sasa tangazo ulilowasilisha liko wapi? ungeweka hilo tanzazo basi ina maana unataka kila mtu apande gari aende feri? acha uvivu wakufikiri ungelipiga picha uweke hapa ,kwani kazi nyingine tunazifuata huko !!!
 
Nililiona Asubuhi Nikiwa Mchakamchaka Kuwahi Usafiri Wakati Naenda Zangu Kuuza Karanga
So Nikirudi Jioni Nitafanya Unayoyataka
ila kasimu Kenyewe Kamera mbovu!
 
Acha umbulula siku nyingine usipost upup.u jf,ungeliweka jioni baada ya kurudi kuuza karanga na si kukurupuka kama unapiga mbizi kumkimbia magufuli....
 
Acha umbulula siku nyingine usipost upup.u jf,ungeliweka jioni baada ya kurudi kuuza karanga na si kukurupuka kama unapiga mbizi kumkimbia magufuli....

We Mfalme KONGI!
Umbulula Ndio Nini?
Alafu Mi Sijaandika U-pupu Hapo!
 
sasa Mnisome Kwa Umakini
Nyote Ninyi...Kama Mnaona Hili Tangazo Halina Tija Kwenu, Ni Heri Msepe
Sio Mnaandika Mijoboo Tu Hapa!
Kama Vp Sepeni....!
 
Sasa sijui ulikuwa na maana gani au umetoka usingizini sasa ndiyo umewekanini au tukueleweje
 
Jamani Eeh...Acheni Kuniandama!
Nimesema Kama Hayana Mashiko chapeni Lapa..yanayowahusu Wamefuatilia Kimyakimya!
 
vp majigo hujarudi kuuza karanga utupe lile tangazo natak kufanya kazi ferry upepo wa kutosha
 
vp majigo hujarudi kuuza karanga utupe lile tangazo natak kufanya kazi ferry upepo wa kutosha

Aah! kwa Jinsi Walivyonipa Makavu, hamu Yote Imeniyeyuka!
 
Back
Top Bottom