pdozen_nation Member Joined Nov 12, 2015 Posts 52 Reaction score 122 Nov 7, 2023 #1 Wakuu leo nimepita Tabata pale nimeona watu wapo nje kwenye kiwanda cha NIDA pale TOT kama veepe embu fatilieni mnaweza mkapata kazi [emoji1545]
Wakuu leo nimepita Tabata pale nimeona watu wapo nje kwenye kiwanda cha NIDA pale TOT kama veepe embu fatilieni mnaweza mkapata kazi [emoji1545]
kocha Nabi JF-Expert Member Joined Feb 1, 2022 Posts 829 Reaction score 2,401 Nov 7, 2023 #2 Ndo mda wao wa kutoka ama kuingia viwandani. hamna anayesubiri kufanyiwa usaili pale, wote vibarua na wanajulikana. kama mtu atahitaji kazi lazma afate process.
Ndo mda wao wa kutoka ama kuingia viwandani. hamna anayesubiri kufanyiwa usaili pale, wote vibarua na wanajulikana. kama mtu atahitaji kazi lazma afate process.
southernboy JF-Expert Member Joined Sep 27, 2015 Posts 904 Reaction score 1,106 Nov 7, 2023 #3 kocha Nabi said: ndo mda wao wa kutoka ama kuingia viwandani. hamna anayesubiri kufanyiwa usaili pale, wote vibarua na wanajulikana. kama mtu atahitaji kazi lazma afate process. Click to expand... Taratibu zake zipoje
kocha Nabi said: ndo mda wao wa kutoka ama kuingia viwandani. hamna anayesubiri kufanyiwa usaili pale, wote vibarua na wanajulikana. kama mtu atahitaji kazi lazma afate process. Click to expand... Taratibu zake zipoje
Chance ndoto JF-Expert Member Joined Mar 8, 2017 Posts 4,621 Reaction score 10,841 Nov 7, 2023 #4 Bora umepita. ππππ. Wale tayari wameshakunywa maji ya timu liwalo na liwe sio usahili .
Pekejeng JF-Expert Member Joined Jul 5, 2016 Posts 831 Reaction score 2,239 Nov 8, 2023 #5 Nenda pale na wewe simama maana pale kuna vibarua "permanet" na vubarua wa kila siku Hao "Permanet" kila mmoja anachagua wa kupiga nao kazi kwa siku hiyo
Nenda pale na wewe simama maana pale kuna vibarua "permanet" na vubarua wa kila siku Hao "Permanet" kila mmoja anachagua wa kupiga nao kazi kwa siku hiyo