habari zenu wana jf wenzangu. Naitwa mgowela naishi morogoro. Nilimaliza advance diploma in accountancy pale t.i.a 2010. Nilikuwa na ajira ya muda kwa sasa kampuni imebadili shughuli hivyo tumepunguzwa kazi. Naombeni nisaidieni kupata kazi nyingine . Nitawalipa gharama za usumbufu 50,000/= kabla ya mwezi na laki moja mwisho wa mwezi.