Kazi katika mashirika ya ndege

Kazi katika mashirika ya ndege

pnk

Member
Joined
Mar 24, 2015
Posts
55
Reaction score
18
Habari wana jukwaa,mimi ni mwanadada mwenye umri wa miaka 27 na nimesomea mambo ya ugavi na hivi sasa nimeajiriwa kama mgavi kwenye kampuni fulani kwa miaka 2 sasa,ila mimi kazi ya ugavi siipendi maana ilikuwa ni dream ya familia yangu na ndo walinishawishi nisome hii kozi,lakini mimi dream yangu ilikuwa kufanya kazi kama cabin crew yaani muhudum wa ndege,niliipenda hiyo kazi tangu nikiwa mdogo lakin wazazi walinizuia kwa kuwa waliidharau na walisema mhudum wa ndege ni kama bar maid,,,sina furaha kwenye kazi yangu hii natamani sana kufanya kazi ninayoipenda.Nimekuja kwenu wanajukwaa mnisaidie kupata kazi kama cabin crew kwenye ndege yoyote ile na niko tayari kuresign huku kwenye ugavi as soon as nikipata a job of my dreams,,,wanaojua nini maana ya kupenda proffession fulani wamenielewa,,asanteni na msaada wenu ni muhimu kwangu
 
unamume km uko single ni pm
 
Kuna ambazo niliziona kule zoom za emirates airways,ka vipi ni PM.
 
  • Thanks
Reactions: pnk
Eh,kwahiyo umefikiria vip wewe kufananishwa na bar maid na wanafamilia?
 
Ni wazo zuri kufanya kazi ile ambayo moyo inapenda. Umewahi kusomea kozi kidogo za air crew? Kama bado itakubidi ufanye hivyo, zinapatikana Dar siku hizi.

Kingine kama unamua amua sasa maana ka umri nako naona kanasonga, miaka 27 kwa hizo kazi za hostesses ni mingi kidogo, angalia umri usikutupe mkono
 
  • Thanks
Reactions: pnk
kwa kuwa sasa unakazi unaweza fanya unachotaka fanya hiv weka akiba ya salary yako kwa ajili ya kusoma kaulize hyo coz ya cabin crew inakopatikana.na ada zake then usiache kazi bali soma.evining class mpaka utamaliza ukipata cheti mwendo wa kuapply ukifanikiwa ukiona.inalipa zaid unaacha ugavi muhimu usiache kazi kabla ya kuwa na kazi nyingne hata kama uipendi komaa.
 
Mi ckushauri uiache kazi yako hiyo ya ugavi,, huko unapotaka kwenda cio kuzuri kabisa,
 
Pursue your burning desire!! your dream is your destiny, do not wait for other's opinions, they will drug you down pnk
 
Last edited by a moderator:
HIZO NI PM.MARA SINGLE SIO JF.NA.MKOME.KAMA.WEB WEKENIHAPA AONE..KUKUSAIDIA NENDA TERM ONE ULIZA OFISI ZA ATCL ZA CREW UNASOMAHAPO UNAENDA KUFANYA MTIHAN WAO UKIFAULU UNANENDA FANYA MTIHANI WA TCAA HUU UKIFAULU UNAPATA LESENI..UKIWA.NA LESENI N RAISI SANA KUPATA AJIRA ELSE USUBRI FJET NDIO HUWA.WANACHUKUA WATU THEN WANAWAFUNDISHA WANAPEWA LESENI NAYO N.LAZIMA uFANYE.MTIHANI WA TCAA..

ELSE KUNA VYUO KAMA REGIONAVIAT NK..UNASOMA UNAENDA PIGA PAPER TCAA
 
Back
Top Bottom