nafasi bado hawajatoa hata za form six sayansi bado wale walioingia mwaka jana ndio wamepelekwa nchi mbali mbali za afrika mashariki mi mmoja wa marafiki zangu yumo humo kapelekwa kenya ila mwaka huu bado,pia nimeongea na ,mshikaji mmoja hivi ni mwana jeshi kaniambia bado so wananzengo tuvute subira mi mwenyewe nasubiri hizo za sayansi