Kazi JWTZ

reandle

JF-Expert Member
May 6, 2009
11,168
8,142
Wanajamii, salaam!
Naomba kupata taarifa nasikia JWTZ wametoa nafasi za kujiunga na jeshi kwa watu ambao proffesionals. Naomba taarifa kamili
 
hivi ishu kama hii wanatangaziaga wapi?? hata mimi ningependa kujua
 
kupima ukimwi cha mtoto mbaya zaidi mwanangu unaambiwa uvue nguo alafu unainama unamulikwa na tochi katikati ya makalio alafu unaambiwa kohoa ........dah mimi sikushauri uede jeshi ni unadhalilishwa na elimu yako na ukienda monduli ndo kabisa hamna kulala wiki sita unamwagiwa maji baridi ukilala ...wanajeshi wa mafunzo wanawakomoa sababu nyinyi mna degree....:bange:
 
Vizuri kwa kuuliza wanajf. Nachofahamu ni kuwa nafasi za jeshi hutolewa kupitia mshauri wa mgambo katika ofisi ya kila mkuu wa wilaya. jaribu kufanya followup kwa sasa maana ndiyo kipindi chake kutoka japo nimesikia nafasi za JKT tayari zimetoka kupitia hao jamaa mshauri wa mgambo wa kila wilaya. wasikukatishe tamaa jamaa yangu inshu ni za kawaida tu.
 
Huwa najitahidi kuchungulia sana magazeti ila sina uhakika kama wametoa hizo nafasi maana kuna wale waliokuwa kambi ya mgulani JKT walioenda Mondoli ni wale waliosoma course za Science tu ina maana wengine walibaki, kwahiyo sijajua kama wanaweza kuita wengine wakati kuna waliokuwa wamebaki. Na kama umeamua kwenda jeshini usiwasikilize sana watu maana wanakutisha bure maana mambo yote yanawezekana kabisa mfano mzuri nina rafiki yangu tumemaliza naye chuo alienda Monduli na sasa ni Afisa wa jeshi.
Thanks.
 
kupima ukimwi cha mtoto mbaya zaidi mwanangu unaambiwa uvue nguo alafu unainama unamulikwa na tochi katikati ya makalio alafu unaambiwa kohoa ........dah mimi sikushauri uede jeshi ni unadhalilishwa na elimu yako na ukienda monduli ndo kabisa hamna kulala wiki sita unamwagiwa maji baridi ukilala ...wanajeshi wa mafunzo wanawakomoa sababu nyinyi mna degree....:bange:

hapo knye msisitizo duh, inamaana wanajeshi wote waliangaliwa makalio? makamba, mwamunyange, shimbo, kikwete, chiligati etc
 
Wasikutishe? Kitu muhimu ni kuwa tayari kujitioa mhanga kwa ajili ya ulinzi wa wa Nchi yako? Kama ni mzalendo wa kweli utashinda yote
 
kwa mnaojua kigezo cha umri kama una degree inakuwaje? mshahara unaendaje jeshini? kunatofauti ya malipo btn jkt and jwtz?
msaada
 
Sikushauri uende jeshini, sikushauri may be uwe wa mkoa uleeee wa kina ntakugecha Mura!!!
 
mimi nakwambiaje ...mtu yoyote aliyekuwa mjeshi kafanyiwa hivyo ....for your information mimi nilikuwa kuwa kwenye hiyo foleni ya kuchunguliwa m....ndu mwanangu nilikuwa kama mtu wa sita hivi baada ya kuona masela wanatoka kwenye chumba jasho linawatoka wakatueleza mpango mzima .......aaaah bwana nikajifanya kama naenda toilet fasta mwanangu ..........nikasepa ..udhalilishaji kama huo haufai na hapo bado huna uhakika kama wanakuchukua au lah ...nyinyi acheni jamani na siyo wote wanaoenda monduli wanafanikiwa wengine wanarudi vilema and discarded as unfit unarudi home na kazi uliacha unaanza upya ....ukishindwa kufuzu mafunzo uarudi nyumbani ........na kipindi chote cha mafunzo kila mwezi unalipwa posho jamani siyo mshahara mpaka ukamilishe one year training ...niulize sasa posho ni sh. ngapi ...teehe....teheee.:bange:
 
kazi ilikuwa kwa ajili ya wanao taka join na polisi but proffessionals wame toa post muda sana tare 2 may ndo wame anza ku call watu walio apply ready for mwezi wa sita mafunzo
 
Dossa samahani lakini naona wewe hukua na nia ya kulitumikia Taifa ungekua na nia ungeiingia ili ukitusimulia tujue ni kweli na siyo maneno ya kusikia mtaani. Askari wanafanya kazi ya ziada katika nchi yoyote Duniani lakini malipo hua ni kiduchu kwa maana nyingine ni watumishi. Kuumia mazoezini ni ajali kazini ndugu yangu na ajali haichagui mwanajeshi au mtu mwingine yoyote hasa katika harakati za kutumikia nchi. Tuwashauri watu wajiunge na jeshi siyo kutafuta maslahi bali kutafuta namna ya kuitumikia nchi.
 
Back
Top Bottom