Kazi Jeshi la Police

Kazi Jeshi la Police

BUZINEM

Member
Joined
Feb 25, 2014
Posts
16
Reaction score
2
habari zenu wauungwana naomba kujua nafasi za jeshi la police zinatoka mwezi wa ngapi kwa sisi tunaotokea mtaani
 
Siku hizi jeshi la polisi linaajiri vijana wanaomaliza form four,form six,wanaomaliza vyuoni na vijana wa jkt.Vijana wa mtaani siku hizi hawaajiriwi.Jeshi limekaa kibaguzi sana hili.Ajira zitatangazwa kuanzia mwezi wa tano.
 
Hao wa mtaani kwani elimu yao ni ipi? au ni mtaani?
 
Back
Top Bottom