Kazi jamani kazi...

Kazi jamani kazi...

Umesoma kozi gani na umemaliza mwaka gani ili watu wajue jinsi ya kukusaidia
 
Pole. Una taaluma gani????
Maana Mungu akijali hivi karibuni natarajia kufungua NGOinayohusiana na VIJANA NA wanawake (Bright-Light Youth & Women Development Organization- BLY&WDO) Hivyo una taaluma gani???

nimeku-PM,kuna michakato nataka tusaidiane
 
jamani niliwaomba wana jf mnisaidie kazi.bt taph,makandomende na wengneo mkanipa moyo wa kunisaidia.sasa mbona mmenyamaza tena jamani?...nna hali ngum mwenzenu!
 
jamani niliwaomba wana jf mnisaidie kazi.bt taph,makandomende na wengneo mkanipa moyo wa kunisaidia.sasa mbona mmenyamaza tena jamani?...nna hali ngum mwenzenu!

Nimekukubali, ufuatiliaji na lenyewe ni suala la muhimu katika kazi, walioahidi wote ungekuwa unawaPM unaongea nao huko huenda mkabadilishana mawili atatu, ni ngumu mtu kufuatilia uzi, labda uwe unamquote na kutaja ili aone kwenye notification. Kila la heri dada.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom