Kazi jamani kazi...

Kazi jamani kazi...

Ungekuwa mwaminifu ungesimamia Hoteli yangu ambayo ni Hoteli ya kawaida.
 
Jaman member wa JF,maisha yamekuwa magumu sana kwangu.

Naomba hata mwenye kuniajiri hata kuuza duka,kuuza restaurant ,

Kazi yoyote halali niko tayar kufanya jaman.

Naomba msaada wenu wapendwa.

Mwee...ila jaribu hata kupitia jukwaa la uchumi na ujasiriamali naimani utapata walau njia...
 
Jaman member wa JF,maisha yamekuwa magumu sana kwangu.

Naomba hata mwenye kuniajiri hata kuuza duka,kuuza restaurant ,

Kazi yoyote halali niko tayar kufanya jaman.

Naomba msaada wenu wapendwa.

Nina kamradi kaufugaji wa kuku wa kienyeji zipo kama 1,000 so naweza kukuajiri kama mhudumiaji but yupo na mwenzako.
 
Ungekuwa mwaminifu ungesimamia Hoteli yangu ambayo ni Hoteli ya kawaida.

jaman mi ni mwaminifu sana tu,mbona unaongea kwa waswas.nipe hyo kazi ndug yang usijaji kabla hata ya kuniona au kufanya kazi na wew ndug yang.mung atakubarik.
 
Nina kamradi kaufugaji wa kuku wa kienyeji zipo kama 1,000 so naweza kukuajiri kama mhudumiaji but yupo na mwenzako.

jaman niajiri naweza fanya kwa nguvu zang zote.please msinipe promise then mnanyamaza ndug zang.maisha magum.
 
God bless Us, bila wewe hatuwezi, nyoosha mkono wako wenye nguvu kwa mtu huyu apate sawa sawa na hitaji lake, lakini mapenzi yako yatimizwe.
 
Jamani wale mliomuahidi kazi huyu binti tafadhali msaidieni, maana kwa wale tunaomwamini Mungu ahadi inakuwa deni kwa yule uliyemwahidi hata kwa Mungu mpaka hapo utakapo itimiza. Binti usikate tamaa endelea kufuatilia.
 
bachelor degree in public administration

Inaelekea uko so desperate! pole sana. Uko mkoa gani/unaishi wapi? Aidha nunua daily news ya 6/3 au mwananchi ya 7/3 NIMR wametangaza kazi na wanatafuta mtu wa professional yako.
 
Inaelekea uko so desperate! pole sana. Uko mkoa gani/unaishi wapi? Aidha nunua daily news ya 6/3 au mwananchi ya 7/3 NIMR wametangaza kazi na wanatafuta mtu wa professional yako.

niko dar mpendwa.thanks kwa info.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom