Kazi ipo, WaTZ waongo!

Ng`wanakidiku

JF-Expert Member
Apr 18, 2009
1,195
232
Hotuba ya Jana ya Mh. Dr Jakaya iliweka wazi mambo kibao tuliyodanganywa kwa makusudi na waTz wenzetu, na leo katema cheche juu ya wanunuzi wa korosho! Bravo JK!
Eti na mimi nawasilisha!
 
kwanza cfanyagi mapenzi na siasa...
pili cmpendi huyo daktari hapo juu...
vikiondoka ivo viwili ntachangia..
 
Back
Top Bottom