mwangalingimungu
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 1,300
- 732
Kama mlichowapiga Mazembe kule Lubumbashi.Hata nyie tuliwanunua tukawapiga kimoja cha mkwezi
Kama mlichowapiga Mazembe kule Lubumbashi.Hata nyie tuliwanunua tukawapiga kimoja cha mkwezi
Jana kala 5-1 huyo PSG sijui unamaanishaje?Kwakuwa hatuna tena mechi ya klabu bingwa hapa ni mwendo wa kugawa dozi hapa home kama PSG vile
Mazembe waligoma kununuliwa..ila yanga walikubali tukawachumisha matembeleKama mlichowapiga Mazembe kule Lubumbashi.
Huo ndo utalii wa ndaniHii ipo Tanzania pekee yaani huwezi ikuta popote.
Sema mliolewa na hadi sasa mko honeymoon mnaenjoy marriage life.Mazembe waligoma kununuliwa..ila yanga walikubali tukawachumisha matembele
Hahaaah kama sisi tulivyowaoa nyinyi tukawageuza hadharani taifa tukawaliwiti kimoja cha makalioni....hahaah kimoja cha mkweziSema mliolewa na hadi sasa mko honeymoon mnaenjoy marriage life.
17/4 Coastal Union vs Simba SC
20/4 Kagera Sugar vs Simba SC
23/4 Alliance vs Simba SC
26/4 KMC vs Simba SC
28/4 Biashara UTD vs Simba SC
1/5 Prison vs Simba SC
3/5 Mbeya City vs Simba SC
Sasa ile kauli mbiu ya DO OR DIE iendelee hapa.
Hakika. 😅😅😅Huo ndo utalii wa ndani
Huwa nakukubali tu Mkuu hasa kwenye hizi pande za kurushiana mawe. 😀😀😀Sema mliolewa na hadi sasa mko honeymoon mnaenjoy marriage life.
Simba anafungika marefa waache kuibeba
Simba vs Mbao goli la kwanza la Bocco .Mechi na Yanga. . Zimbwe Jr akiwa na card ya njanoakamvjta
Walipogoma ikawaje?Mazembe waligoma kununuliwa..ila yanga walikubali tukawachumisha matembele
Kwani yanga walivyogoma kununuliwa ilikuwaje mkuu...si tuliwageuza nyuma tukawapiga kimoja cha mkweziWalipogoma ikawaje?
Endeleeni kujifariji ila ubingwa ndo unaenda hivyoSimba vs Mbao goli la kwanza la Bocco .Mechi na Yanga. . Zimbwe Jr akiwa na card ya njanoakamvjta
Kwa hivyo kwa raha zenu na nyinyi mkageuka mkapigwa vinne vya mlevi?Kwani yanga walivyogoma kununuliwa ilikuwaje mkuu...si tuliwageuza nyuma tukawapiga kimoja cha mkwezi