Mh.Mangatar Mpendwa za asubuhi? Mkuu hapa tunatafakari picha hii, na kuichambua ilivyo yaani Makundi yote yamebeba SILAHA nzito !! na nia zao ni kuvamiana au kupambana yaani VITA (battle/war) au siyo mkuu ? samahani mimi sii mwana siasa wala mwana harakati mie Raia mwema kama wengine tu, Nina huzunika na kusikitishwa kwa yaliyotokea na KuLaani vitendo vya kinyama popote pale (very Sad).... Sasa Mzee wangu picha inajieleza kwa uwazi na ufasaha kuwa watakapo
vamia lugha itakuwa ni ya silaha na mauaji...! Hivyo waswahili husema " VITA HAVINA MACHO " (fahari wawili wakigombana nyasi huumia) hivyo chochote kinaweza tokea.!! Mungu apishe mbali yasitukute au yasiwakute wenzetu.Amin/AMEN
Stay in peace.