Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,956
...sijapata logic...
...sijapata logic...
logic ni kwamba majesh ya Kenya yakipiga kwata kuelekea Kismayu huko Somali land, majesh ya Somalia yanapiga kwata kuelekea Kenya
Nilivyoelewa ni kwamba jeshi la kenya linaenda somalia na magaidi wanatokea Somalia kuingia Kenya,magaidi wamefananishwa na wanawake kwa sababu aliepanga shambulio la Kenya ni mwanamke.hii ni lugha ya Picha tuu haina maana kuwa magaidi wote ni wanawake....sijapata logic...
Nilivyoelewa ni kwamba jeshi la kenya linaenda somalia na magaidi wanatokea Somalia kuingia Kenya,magaidi wamefananishwa na wanawake kwa sababu aliepanga shambulio la Kenya ni mwanamke.hii ni lugha ya Picha tuu haina maana kuwa magaidi wote ni wanawake.
asikupe tabu huyu ni wale wale magaidi
HAPATOSHI WANAWAKE WANAKWENDA KENYA WANAUME WANAKWENDA KISAMAAYO......................
logic ni kwamba majesh ya Kenya yakipiga kwata kuelekea Kismayu huko Somali land, majesh ya Somalia yanapiga kwata kuelekea Kenya
Slow leaner?
...thanks now i m on my big screen naisoma vizuri...Nilivyoelewa ni kwamba jeshi la kenya linaenda somalia na magaidi wanatokea Somalia kuingia Kenya,magaidi wamefananishwa na wanawake kwa sababu aliepanga shambulio la Kenya ni mwanamke.hii ni lugha ya Picha tuu haina maana kuwa magaidi wote ni wanawake.
Kuna watu wana kipaji cha kuharibia siku wenzao.Unamfahamu?
Nimeshangaa watukanwa from nowhere.
mama timmy,
usiogope. Hao magaidi ni wa.na.wa.ke tuuuu. Kama wangekuwa wanaume wa kweli wangeenda kwenye vituo vya KDF. Mbona wanaenda kuua watu waliosachiwa getini, kama ukionekana na kisu cha kulia embe to unanyang'anywa? Mtu hana silaha yeyote unamwendea kumuua kwa gruneti! Ptuuuuuu. Nimewatemea haya mate. Waoga, wadhaifu tena sijui niwaite nini.
Mchora katuni kamaliza maelezo yote.
We Govi
Unajua somaliland au unaongea kiroba
Mbuzi jike wewe