Kazi Inaendelea - MV Ukara Ipo tayari

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,205
4,695
Tuliahidi & Tumetekeleza
FB_IMG_15981183852730604.jpg
FB_IMG_15981183963967768.jpg
FB_IMG_15981183911022192.jpg
 
Msisahau na madawa maana majengo siyo issue sana
Changamoto madawa wazeeee

Ova
Madawa yapo mengi tu.magonjwa yetu makuu yanayotusumbua yanajulikana ni malaria.u.t.i na typhod.
kama kuna mengine nje ya hayo dawazipo na watu wanatumia na wanapona vizuri tu.
 
Kwa kweli MZEE Magu kwenye ishu ya huduma za kijamii yupo vizuri,maana nimeona Vituo vingi vya afya vipo ktk hali nzuri sana,bila kusahau Mashule,barabara,Huduma za umeme,maji.n.k.
 
Kwa kweli MZEE Magu kwenye ishu ya huduma za kijamii yupo vizuri,maana nimeona Vituo vingi vya afya vipo ktk hali nzuri sana,bila kusahau Mashule,barabara,Huduma za umeme,maji.n.k.

✌🏻✌🏻✌🏻✌🏻 2020.
 
Back
Top Bottom