bobdizo Senior Member Jun 28, 2014 137 50 May 7, 2016 #1 kazi imeanza leo ya daladala Kigamboni to complex kariakoo kupitia darajani
M Mcharo son JF-Expert Member Mar 4, 2015 4,616 3,714 May 7, 2016 #2 bobdizo said: kazi imeanza leo ya daladala Kigamboni to complex kariakoo kupitia darajani Click to expand... nAULI MMELIPA KIASI GANI?
bobdizo said: kazi imeanza leo ya daladala Kigamboni to complex kariakoo kupitia darajani Click to expand... nAULI MMELIPA KIASI GANI?
peri JF-Expert Member Mar 22, 2011 2,579 1,164 May 7, 2016 #7 Tutamkumbuka Dr dau na JK kwa hili. Magufulu anatakiwa nae akiondoka aache kumbukumbu za kdudumu kama hizo.
Tutamkumbuka Dr dau na JK kwa hili. Magufulu anatakiwa nae akiondoka aache kumbukumbu za kdudumu kama hizo.
bobdizo Senior Member Jun 28, 2014 137 50 May 7, 2016 Thread starter #9 kashesho said: Nauli shs ngapi au ni bure Click to expand... nauli ni 450 tu
S singidadodoma JF-Expert Member Nov 11, 2013 4,394 1,536 May 7, 2016 #10 bobdizo said: kazi imeanza leo ya daladala Kigamboni to complex kariakoo kupitia darajani Click to expand... Safi sana kwa Magufuli tutavuka tu, Watanzania tunapaswa kujipongeza kwa kumchagua Magufuli na kuachana na wazungusha mikono
bobdizo said: kazi imeanza leo ya daladala Kigamboni to complex kariakoo kupitia darajani Click to expand... Safi sana kwa Magufuli tutavuka tu, Watanzania tunapaswa kujipongeza kwa kumchagua Magufuli na kuachana na wazungusha mikono