Kazi French Foreign Legion

michepuko

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2014
Posts
1,192
Reaction score
346
Nimepitia websit ya hawa jamaa wa French foreign legion,na nimeeona jamaa wana recruit watu kutoka mataifa mbali mbali bila kujali sana elimu zao ili kuweza kutumika kama askari wa kifaransa kwenda kupigana vita mstari wa mbele kwenye makoloni yaliyowahi kutawaliwa na ufaransa au nchi ambzao ufaransa inamaslahi nazo (legionaires).

Ajirizizinptnakyko ku yao yaliyopo Paris na kwingi neko ndani ya ufaransa,na zoez la kuajiriwa n endelevu kwa miaka yote. Kwa yoyote mwenye kufahamu zaidi juu ya hawa jamaa tunamba atuhabarishe zadi kwa manufaa ya JF wote.

Ahsateni.
 
samahani Ajirizizinptnakyko ndio lugha gani?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…