nina best yangu ameolewa mwaka sasa, recently amepata kazi nje ya tz (UN) kwa mkataba wa miaka 2,yupo kwenye maandalizi kuondoka nchini amepewa miezi 2 ya kujiandaaa. Ameongea na mumewe kuhusiana na suala hili mumewe ameridhia. Best yangu anatamani sana angeondoka na mumewe, na mpango wake ulikuwa wakati yeye yupo huko kikazi mumewe angekuwa anasoma degree ya pili. Mume amegoma amesema yeye hawezi kuacha kazi, na kama ni kusoma yeye atasoma hapa hapa tz. Hii issue inamsumbua sana best yangu na anasema kama vipi anaweza akaachia hiyo opportunity. Mimi nimemshauri asiache hiyoo nafasi aliyopata, na aendelee kumshawishi mumewe waende wote kwani sioni sababu ya huyo mume kutokwenda na mkewe. Siamini kama kazi ni kisingizio coz ni mwajiriwa serikalini,na mishahara ya serikali inajulikana kwa hiyo sio kusema akiacha hiyo kazi atakuwa amepoteza big opportunity. Naombeni tips zaidi juu mtazamo wenu kwenye hili labda naweza kupata idea za kumpa best yangu akaweza kumshawishi mumewe akubali waondoke wote, coz naamini itaimarisha ndoa yao.
kwa utamaduni wetu wa kiafrica, mume kumkubalia itaonekana kama kale kamfumo unaoitwa mfumo jike wa kihindi.
Kwa kuwa tunaendeleza utamaduni wetu wa mfumo dume hilo lijama halitakubali kwenda kusherehekea madola ya UN.
Ushauri: wote wamtangulize Mungu mbele hakuna kitu kitakachoshindikana. wakimtanguliza Mungu mbele na kwa baraka zake mama ataondoka kwa amani ya moyoni, na mume atabaki bongo kwa amani ya moyoni, au wote wakaondoka kwenda UN au wote wakabaki bongo.
Wengine tukishauri tunaweza kuharibu.........yeye ndiye anayemfahamu mumewe vizuri zaidi anaweza kumwelewesha kwa utuvu na kama atatumia nguvu yake kama mwanamke, (naamini nimeeleweka) anaweza kufanikiwa.
nina best yangu ameolewa mwaka sasa, recently amepata kazi nje ya tz (UN) kwa mkataba wa miaka 2,yupo kwenye maandalizi kuondoka nchini amepewa miezi 2 ya kujiandaaa. Ameongea na mumewe kuhusiana na suala hili mumewe ameridhia. Best yangu anatamani sana angeondoka na mumewe, na mpango wake ulikuwa wakati yeye yupo huko kikazi mumewe angekuwa anasoma degree ya pili. Mume amegoma amesema yeye hawezi kuacha kazi, na kama ni kusoma yeye atasoma hapa hapa tz. Hii issue inamsumbua sana best yangu na anasema kama vipi anaweza akaachia hiyo opportunity. Mimi nimemshauri asiache hiyoo nafasi aliyopata, na aendelee kumshawishi mumewe waende wote kwani sioni sababu ya huyo mume kutokwenda na mkewe. Siamini kama kazi ni kisingizio coz ni mwajiriwa serikalini,na mishahara ya serikali inajulikana kwa hiyo sio kusema akiacha hiyo kazi atakuwa amepoteza big opportunity. Naombeni tips zaidi juu mtazamo wenu kwenye hili labda naweza kupata idea za kumpa best yangu akaweza kumshawishi mumewe akubali waondoke wote, coz naamini itaimarisha ndoa yao.
Kwani huyo mumewe ni macho juu sana kiasi anahofia kumwacha abaki TZ atakuta ameshasepa? manake hadi mwanamke anafikiria aachie post aliyopata ili abaki na Husband.. au labda ni uchanga wa ndoa ... mie hata sielewi!
Lakini kazi ya UN ni mkataba wa miaka miwili, so mume akiacha kibarua chake aondoke na mkewe then mkataba ukija kuisha itakuwaje?? Wanarudi kwenye msoto wa kutafuta kazi tena hapa bongo...?
marriage vs career,siku zote ni mtihani mkubwa sana,achilia mbali mmoja kupata kazi majuu lakini hata mkiwa hapa bongo.Chukulia mfano kina mama ambao taaluma zao zinawalazimu kurudi nyumbani late kama bankers na manesi,akifika nyumbani amechoka,foleni (labda wanaishi Boko/mbagala),yaani hata nguvu ya kupika hana achilia mbali huduma ya kitandani.Mimi naona it is a matter of choice maana huwezi kula keki na wakati huo huo ukawa nayo mkononi,watulie watafakari na mwisho wa take chance,maisha wakati mwingine ni gamble.
Nailyne, hilo bold ndio tatizo, wanaume wetu wa kiafrika hawapendi hiyo kitu,umsomeshe halafu badae uringe? au akikukosea tu uanze kumsimanga, hiyo ni ngumu sana na amini nakwambia ndio hiyo mumewe hatakisidhani kama anahofu ya kumuacha atakuta ameshasepa coz mtu akiwa macho juu juu hatasubiri usafiri ndio afanya mambo yake, atafanya na wewe ukiwepo, swala sio tu mume kubaki bt pia chances ambazo mume anaweza kupata kwa kukubali kusafiri na mkewe, cha kwanza ni suala la shule ambapo mke yupo tayari kumsapoti mumewe asome masters wakiwa huko kwa hiyo salary yake.
Nailyne, hilo bold ndio tatizo, wanaume wetu wa kiafrika hawapendi hiyo kitu,umsomeshe halafu badae uringe? au akikukosea tu uanze kumsimanga, hiyo ni ngumu sana na amini nakwambia ndio hiyo mumewe hataki